TANZANIA YOUTH SHINNING ORGANIZATION-TAYOSO ni jumuiya ya wasomi Tanzania kuanzia sekondari “A- Level” mpaka chuo, yenye kuleta mtandao wenye tija kwa wanachama na Taifa kwa ujumla, katika misingi ya upendo, uzalendo, amani na ushirika baina ya wanachama na ambao si wanachama.