Saturday, July 16, 2011

50 years Hip hip HUREEE fellow Tanzanians, THE jubilee

Sasa hii michezo iliyoaanza huko TANESCO ya kutukatia umeme, hebu angalia sasa hata hiyo minara nayo imeamua kucheza kamchezo ka kuruka kamba. Hivi watanzania  tunaadhimisha jubilee ya miaka 50 ya uhuru kwa burudani hii. 

No comments: